
JAFO AZINDUA WIKI YA SHERIA KISARAWE
Na Khadija Kalili Michuzi Tv. WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt.Selemani Jafo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kisarawe amezindua Wiki ya Sheria na kupokea maandamano kwenye Viwanja vya Chanzige. Ameyasema hayo Januari 24 2025 wakati akizindua Wiki ya Sheria kwa Wilaya ya Kisarawe ambapo ameitaka Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe kuendelea kuwasikiliza wananchi…