
Masoud apania rekodi Chama la Wana
KOCHA mpya wa Stand United ‘Chama la Wana’, Juma Masoud amesema licha ya kukabidhiwa timu hiyo wakati huu wa michezo ya mwisho wa msimu hana presha, huku malengo yake makubwa ni kuweka rekodi ya kuipandisha Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao. Kocha huyo wa zamani wa FGA Talents kwa sasa Fountain Gate, amejiunga na kikosi…