WATUMISHI WA TRA WALIONUSURIKA KIFO TEGETA WATUNUKIWA

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewatunuku vyeti vya utumishi uliotukuka watumishi wake wawili wa Idara ya Forodha walionusurika kifo wakati wakitekeleza majukumu yao baada ya gari la Mamlaka kushambuliwa na wananchi katika eneo la Tegeta Jijini Dar es Salaam Desemba, 2024 ambapo mmoja wao Amani Simbayao alipoteza maisha na hivyo cheti chake kukabidhiwa kwa mke…

Read More

WASIRA: UAMUZI WA MKUTANO MKUU UMEZINGATIA KATIBA YA CCM

 Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mainduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema uamuzi wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, uliomchagua Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kugombea kiti cha Urais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, umezingatia takwa la kikatiba na mamlaka ya Mkutano Mkuu. Amesema baadhi ya watu wanaojiita wanaCCM…

Read More

Mlandizi Quens ni maombi tu ikijipanga upya

HALI iliyonayo mabingwa wa zamani wa Ligi ya Wanawake (WPL), Mlandizi Queens siyo nzuri na sasa inasuka mipango mipya kuhakikisha mechi nane zilizosalia ni kufa na kupona. Hadi sasa Mlandizi haijaonja ladha ya ushindi tangu ishiriki ligi ikisalia mkiani mwa msimamo na pointi moja ikiruhusu mabao 50 na kufunga tano. Akizungumza na Mwanaspoti, Kocha wa…

Read More

Vibali Gets Program vyasimamisha Mchezo

MCHEZO wa raundi ya 10 Ligi ya Wanawake juzi kati ya Get Program na Mashujaa Queens ulishindwa kuendelea huku sababu ikiwa ni pamoja na changamoto ya vibali. Mchezo huo ulipigwa Uwanja wa Jamhuri Dodoma uliishia dakika 39 huku Mashujaa akiongoza kwa mabao 4-0. Get Program inakabiliwa na changamoto kwa baadhi ya vibali na kusababisha kuchezesha…

Read More

NGORONGORO WASISITIZWA KUACHA KUTUNZA FEDHA NYUMBANI

Na. Saidina Msangi, WF, Ngorongoro, Arusha. Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro wametakiwa kutumia huduma rasmi za fedha kutunza fedha zao badala ya kutunza nyumbani ili ziweze kuingia katika mzunguko wa fedha na kuongezeka thamani. Rai hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Bw. Hussein Urughu, alipokuwa akifungua mafunzo ya…

Read More

Pacha ya Mnunka akitaka kiatu WPL

MSHAMBULIAJI wa Simba Queens, Jentrix Shikangwa amesema uwepo wa mashabiki uwanjani unawapa morali wachezaji kupambania timu hiyo. Mkenya huyo ni kinara wa mabao WPL akiweka kambani mabao 13 kwenye mechi 10, akifuatiwa na Stumai Abdallah wa JKT Queens mwenye nayo 10. Akizungumza na Mwanaspoti, Shikangwa alisema sababu ya timu hiyo kufanya vizuri inachangiwa na uwepo…

Read More

Yanga Princess yakomaa na wazawa

YANGA Princess wiki iliyopita imetambulisha vyuma vitatu vya kimataifa lakini usajili ulioshtua zaidi ni ule wa nyota wazawa. Dirisha hili dogo lililofungwa Januari 15, Yanga ilitambulisha nyota watatu wa kimataifa ambao ni kiungo mkabaji, Lydia Akoth kutoka Kenya Police Bullets, kiungo mshambuliaji Aregash Kalsa kutoka C.B.E ya Ethiopia, Jeaninne Mukandayisenga wa Rayon Soprts ya Rwanda….

Read More