
Sh5 bilioni kurekebisha maeneo yaliyoharibiwa
Unguja. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema wataendelea kuimarisha misitu katika maeneo yaliyoharibiwa ili kuongeza uzalishaji na usalama wa chakula nchini. Mratibu wa Mradi wa Mfumo wa Chakula, Matumizi na Urejeshaji wa Ardhi, Miza Suleiman Khamis, Amesema hayo leo Jumapili, Januari 26, 2025,…