
Masaka aanza mazoezi baada ya kuwa nje kw majeraha
MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania, Aisha Masaka anayekipiga katika timu ya Brighton & Hove Albion ya Ligi Kuu ya Wanawake ya England, ameanza rasmi mazoezi ya uwanjani baada ya kuwa nje kwa takribani miezi mitatu. Masaka alipata jeraha la bega kwenye mchezo wa Ligi Kuu England (W) dhidi ya Arsenal Novemba 9 mwaka jana chama…