
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI YASHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA DODOMA 2025
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili kwenye banda la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati ya Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yaliyoanza leo Jijini Dodoma. Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na watumishi…