
Faili la beki wa Simba latua Sauzi
SIMBA inajiandaa kushuka uwanjani jioni ya leo kuvaana na Kilimanjaro Wonders katika mechi ya kiporo cha Kombe la Shirikisho, lakini mapema wakati kikosi hicho kikijiweka tayari, mabosi wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini walikuwa wakipitia faili la beki wa Wekundu hao kwa lengo la kutaka kumsajili. Ndiyo, klabu hiyo inayonolewa na kocha wa zamani wa…