
DKT KIKWETE AKIRI SHERIA,HAKI NA UTAWALA BORA HUCHANGIA KUKUA KWA UCHUMI NA MAENDELEO KWA UJUMLA.
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma RAIS Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya nne Mhe Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Maendeleo ya kiuchumi ya kijamii hustawi pale tu ambapo Utawala wa Sheria na Utawala bora vimetamaraki. Dkt Kikwete ameyasema hayo Leo Jijini Dodoma katika Uzinduzi wa Wiki ya Sheria 20225 ulioratibiwa…