Copco yatupwa nje kombe la FA, yabamizwa 5-0

YANGA leo ilikula kiporo cha mechi za Kombe la Shirikisho kiulaini baada ya kuifumua Copco ya Mwanza kwa mabao 5-0, huku nyota mpya wa kikosi hicho, Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’ akishindwa kuanza kuitumikia timu hiyo baada ya kuanzishwa jukwaani na Kocha Sead Ramovic. Wakati Ikanga Speed akianzia jukwaani, beki wa kulia Israel Mwenda aliyesajiliwa katika…

Read More

Kikwete asimulia alivyopambana na ucheleweshaji kesi enzi zake

Dodoma. Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ameeleza namna changamoto ya ucheleweshaji wa kesi na utoaji wa nakala za hukumu ilivyokithiri na namna alivyopambana nalo wakati wa uongozi wake. Amesema kuna kipindi kulikuwa na majaji waliokuwa na hukumu zaidi ya 60 ambazo hazijaandikwa, huku mmoja akiwa karibu kustaafu. Simulizi hiyo ameitoa leo Jumamosi, Januari 25, 2025, alipohutubia…

Read More

Ramovic amchomoa Ikanga Speed | Mwanaspoti

WAKATI mashabiki wa Yanga wakiwa na hamu kubwa ya kumuona nyota mpya wa kikosi hicho, Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’ katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la (FA), dhidi ya Copco FC, mambo yamekuwa ni tofauti baada ya kukosekana baada ya kocha Sead Ramovic kumchomoa kikosini. Nyota huyo aliyesajiliwa katika dirisha dogo la Januari akitokea AS…

Read More