
Mkongomani azitaka tatu za Simba
WAKATI Tabora United ikijifua kwa mchezo wa kiporo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, kocha Anicet Kiazayidi amesema hana presha huku akisifu kiwango cha wapinzani wao. Timu hizo zitakutana kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora utakaopigwa Februari 2 kwani katika mechi ya kwanza zilipokutana Uwanja wa KMC Complex, Simba ilishinda mabao 3-0,…