
BARRICK NORTH MARA YALIPA BILIONI 3.7/ ZA USHURU WA HUDUMA TARIME VIJIJINI, BILIONI 1.7/- ZA MRABAHA KWA VIJIJI VITANO
Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Dkt. Mark Bristow akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi bilioni 3.7 kwa viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime katika ukumbi wa mikutano wa Mgodi wa Dhahabu wa North MaraRais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Dkt. Mark Bristow (katikati waliokaa), Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara (wa…