
Yao ana mambo matatu Yanga SC
WAKATI Yanga iikijiandaa kushuka uwanjani jioni ya leo kuvaana na Copco ya Mwanza katika mechi ya kiporo cha hatua ya 64 Bora ya Kombe la Shirikisho nchini, beki nyota wa timu hiyo, Yao Kouassi anayesumbuliwa na majeraha, amelia na mambo matatu yanayomuumiza kwa sasa. Beki huyo amesema mambo hayo yamechangia kumfanya awe na msimu mbaya…