Samia mgeni rasmi Siku ya Wanawake Duniani

Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yatakayofanyika kitaifa Machi 8, 2025, mkoani Arusha. Hayo yamesemwa leo Ijumaa, Januari 24, 2025, na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, wakati wa hafla ya makabidhiano ya pikipiki zilizotolewa kwa Jeshi la Polisi ili kuimarisha usalama mkoani humo….

Read More

Bashe atamani kilimo kiheshimiwe kama Mwenge

Dodoma. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema endapo kilimo kingeheshimika kama ilivyo kwa Mwenge wa Uhuru, umasikini Tanzania ungeondoka. Mbali na hilo, ameeleza kusikitishwa kwa Kituo cha Mafunzo kwa Wakulima mkoani Iringa (Ward resource center) kugeuzwa nyumba ya kulala wageni. Bashe ameyasema hayo leo Ijumaa, Januari 25, 2025 wakati wa hafla ya kutia saini makubaliano…

Read More

Mvua ya mawe yaharibu ekari 120 za tumbaku Chunya

Mbeya. Mashamba ya tumbaku yenye ukubwa wa ekari 120 yameathiriwa na mvua ya mawe iliyoambatana na upepo Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Mvua hiyo ilinyesha Januari 20, 2025 katika baadhi ya maeneo na kusababisha majani ya zao hilo kuharibika. Mashamba yaliyoathirika yanamilikiwa na wakulima 31 ambao ni wanachama wa Amcos za Magunga na Ifuma zilizopo…

Read More

KATAMBI AANIKA MAFANIKIO MAKUBWA SHINYANGA MJINI…HAPI ATAHADHARISHA MASHABIKI FEKI NA MADALALI WA KISIASA!

Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Paschal Katambi ambaye pia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) akizungumza wakati akitoa taarifa ya Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo Jimbo la Shinyanga Mjini 2020/2024 – Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blogMbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe….

Read More

Maswali 10 uraia nyota Singida BS

HATUA ya wachezaji watatu wa Singida Black Stars kutangazwa kupewa uraia wa Tanzania na kuthibitishwa na Idara ya Uhamiaji, imeibua mijadala kuanzia mtaani hadi katika mitandao ya kijamii, huku kukiwa na maswali 10 magumu kutokana na taratibu zilizotumika kuwapa uraia huo. Kabla ya Idara ya Uhamiaji kutoa taarifa hiyo juzi Alhamisi kupitia msemaji wake, SSI…

Read More

HakiElimu Yazindua Mradi wa Kuboresha Miundombinu na Kupambana na Ukatili wa Kingono Shuleni

NA EMMANUEL MBATILO, KOROGWE TANGA TAASISI ya HakiElimu imezindua Mradi wa Mageuzi ya Usawa wa Kijinsia katika elimu ambao umelenga kuboresha Miundombinu ya Maji, Usafi wa Mazingira pamoja na Kupunguza Ukatili wa Kingono na Kijinsia ili Kuhakikisha Wasichana Wanaendelea na Masomo na kutimiza ndoto zao za kielimu. Mradi huo unaofadhiliwa na serikali ya Canada kupitia…

Read More

Watatu wakamatwa porini na mtoto aliyeibwa Kibaha

Kibaha. Mtoto mchanga mwenye umri wa miezi saba, Merysiana Melkzedeck, aliyeibwa Januari 15, 2025 katika eneo la Kwa Mfipa, Kibaha mkoani Pwani, amepatikana porini akiwa hai. Akizungumza na waandishi wa habari leo Januari 24, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase amesema kupatikana kwa mtoto huyo kumetokana na ushirikiano wa pamoja na mamlaka…

Read More