
Rais Samia atengua watatu, yumo DC wa Arusha Mjini
Dar/Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa watendaji watatu katika halmashauri za wilaya tatu, akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Felician Mtahengera. Wengine waliotenguliwa ni aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Meatu, Athuman Masasi na nafasi yake imechukuliwa na Zahara Michuzi aliyetokea Halmashauri ya Mji wa Ifakara. Stephano Kaliwa aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa…