
Dabo afichua siri za mastaa kutoka Bongo
KOCHA wa zamani Azam FC, Youssouf Dabo ameeleza sababu za kuwavuta mastaa wa Bongo kwenda katika klabu anayoinoa kwa sasa ya AS Vita ya DR Congo. Dabo ambaye alitimka Azam mwanzoni mwa msimu huu na katika dirisha hili dogo akiwa katika kikosi hicho amechukua baadhi ya wachezaji wazawa na kuwavuta katika kikosi hicho. AS Vita…