“Lazima tuwe huko kwa ajili yao sasa” anasema mkuu wa misaada ya UN, akiangazia shida ya watoto wa Gaza – maswala ya ulimwengu

“Leo alama moja ya nyakati adimu ambazo tunaweza kuonyesha maendeleo mazuri, pamoja na mahitaji ya kibinadamu ya janga Huko Gaza, “Bwana Fletcher alianza. Alibaini kuwa kusitishwa kwa hivi karibuni kumetoa malipo yanayohitajika sana kutoka kwa uhasama usio na mwisho, ikiruhusu kuongezeka kwa misaada ya kibinadamu ya kuokoa maisha. Bwana Fletcher alitoa shukrani kwa wapatanishi –…

Read More

Tuzo za TEHAMA 2025 zimelenga Kutambua Wabunifu na Miradi ya Kidigitali Nchini Tanzania

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV TUZO za TEHAMA 2025 zimelenga kutambua mchango mkubwa katika sekta ya TEHAMA ya Tanzania, kwa kuwatambua watu binafsi, mashirika, na miradi inayochochea mabadiliko ya kidigitali, kuimarisha ubunifu, na kukuza ushirikishwaji. Ameyasema hayo leo Januari 24, 2025 Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Mwasaga wakati…

Read More

CMSA YASEMA MAUZO HATIFUNGANI YA BENKI YA AZANIA YAMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA

*Yapata kiasi cha Sh.bilioni 63.27 ikilinganishwa na Sh.bilioni 30 zilizopangwa kupatikana Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana(CMSA) imesema kuwa mauzo ya hatifungani ya benki ya Azania yamepata mafanikio ya asilimia 210.9,ambapo kiasi cha shilingi bilioni 63.27 kimepatikana ikilinganishwa na shilingi bilioni 30 zilizopangwa kupatikana. Aidha, asilimia 70 ya mauzo ya hatifungani…

Read More

Familia ya mtoto aliyeibwa Kibaha yazidi kumlilia Rais Samia

Kibaha. Siku 10 baada ya mtoto wa miezi saba kuibwa na watu wasiojulikana, familia ya mtoto huyo bado ina matumaini kuwa atapatikana salama. Wakiwa kwenye majonzi, familia hiyo imeendelea kumlilia Rais Samia Suluhu Hassan wakimuomba asaidie kupatikana kwa mtoto huyo.  Mtoto huyo aitwaye Merisiana Sostenes alichukuliwa  Januari 15, 2025, akiwa nyumbani kwao Kibaha kwa Mfipa…

Read More

Nguvu zaidi zinahitajika ulinzi ghuba ya Chwaka

Unguja. Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Ayoub Mohammed Mahmoud amesema umefika wakati sasa kuongeza nguvu ya ulinzi katika Ghuba ya Chwaka, kutokana na kuwepo kwa baadhi ya wavuvi kuendelea na uharibifu wa hifadhi za bahari na rasilimali zake. Ameyasema hayo leo Ijumaa Januari 24, 2025 wakati akizindua na kukabidhi boti ya doria kwa ajili…

Read More

TRA ENDELEENI KUPAMBANA NA WAKWEPAKODI.: RAIS SAMIA

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha wanaendelea kupambana na watu wanaokwepa Kodi kwa kuwasaka wanaoghushi risiti za EFD na VFD pamoja na wanaotumia Stempu bandia kwenye vinywaji. Pia amewataka Walipakodi nchini kuendelea kulipa kodi kwa hiari na kuachana na vitendo vya kukwepa Kodi…

Read More