
Uamuzi wa Trump maumivu zaidi kwa Watanzania
Dar es Salaam. Uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump wa kuzuia misaada ya maendeleo kwa siku 90, umeanza kuleta maumivu katika maeneo kadhaa, hususan ajira na utekelezaji wa miradi kama elimu na kilimo nchini. Mbali na hiyo Trump pia ameeleza nia yake ya kuitoa Marekani kwenye Shirika la Afya Duniani (WHO), hatua hii itaathiri…