
PIRAMIDI YA AFYA: Umomonyokaji mfupa waliofikia ukomo wa hedhi
Kitabibu Osteoporosis ni hali ya umomonyokaji msongamano wa madini yanayounda mfupa, hatimaye kuwa myepesi na dhaifu. Ni tatizo hili linalowaathiri zaidi wanawake waliofikia ukomo wa hedhi. Ni hali ya mifupa kupoteza ubora wake, hasa katika tungamo ya mfupa, hii ni mara baada ya kupungua kwa molekuli pamoja na kuzorota utendaji wa kujiimarisha uimara wake. Hali…