
Mapambano ya Tanga kufufua viwanda vyake – 2
Tanga. Serikali ya Mkoa wa Tanga imeanza kuchukua hatua kuangalia namna ya kuvifufua viwanda vikubwa vitatu vya Mbolea, Mbao na Chuma hatua ambayo inaweza kurejesha matumaini ya wananchi kwa kuongeza kipato, ajira na uchumi wa mkoa kuimarika. Tayari mazungumzo yameanza kati ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga na mwekezaji wa kiwanda cha Chuma…