
92 wafa sababu ya kuharibika kwa mimba
Dodoma. Katika kipindi cha mwaka 2022 hadi 2024 jumla ya wanawake 92 walipoteza maisha kutokana na changamoto mbalimbali zilizosababishwa na kuharibika kwa mimba, Bunge limeelezwa leo Januari 31, 2025. Naibu Waziri wa Afya ametoa takwimu hizo alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Fatuma Toufiq aliyeuliza ni watoto wa kike wangapi na wanawake…