
Simbachawene atoa mwongozo Tasaf inavyofanya kazi
Singida. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, amesema moja ya majukumu makuu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) ni kuwawezesha wananchi kiuchumi, hususan wale wasiojiweza. Amesisitiza kuwa mfuko huo unalenga kutatua changamoto zinazohusiana moja kwa moja na maisha ya wananchi, kama vile kuboresha miundombinu…