
WANAHARAKATI, WANAZUONI WASEMA UISLAMU SIO KIKWAZO MWANAMKE KUWA KIONGOZI
Na Nihifadhi Abdulla, Zanzibar. ZANZIBAR ni moja kati ya nchi ambayo inadaiwa kuwa na waumini wa kiislam wengi na huishi kwa kufuata sunna, vitabu vitukufu, na historia za viongozi wa dini wa zama zilizopita lengo ni kujenga imani iliyo ya kweli kwakufuata misingi na taratibu zinazoonekanwa ni sahihi. Suala linalohusu hadhi ya mwanamke katika jamii…