Yametimia vivuko vya sekta binafsi Magogoni – Kivukoni

Dar es Salaam. Milango ya ushirikiano kati ya Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa) na sekta binafsi, imeanza kufungukia kwa huduma za vivuko katika eneo la Magogoni-Kivukoni. Hilo ni baada ya wakala huyo kushirikiana na Azam Marine Ltd katika utoaji huduma hiyo na tayari vivuko viwili vya kasi vimezinduliwa kuanza huduma katika eneo hilo. Milango…

Read More

WAZIRI SIMBACHAWENE AMJIBU MBOWE KUHUSU MPANGO WA TASAF

Na John Walter -Singida Waziri wa nchi ofisi ya Rais, Menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora George Simbachawene amesema Serikali itaendelea kuhakikisha kaya masikini zinajikwamua kiuchumi kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa kupitia Mpango wa kunusuru kaya masikini TASAF unaotekelezwa kwenye mikoa yote ya hapa nchini. Waziri huyo ametoa kauli hiyo mkoani Singida akiwa katika…

Read More

WASIRA: WALIOPORA ARDHI ZA VIJIJI WARUDISHE KWA WANANCHI.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wassira, ameiagiza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kuhakikisha ardhi ya vijiji iliyoporwa kinyume cha sheria, inarudishwa kwa wananchi. Wasira alitoa maagizo hayo leo jijini Dodoma, wakati akizungumza na viongozi pamoja na wanaCCM waliojitokeza kumpokea katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM. Alisema…

Read More

Ilanfya mdogo mdogo JKT Tanzania

MSHAMBULIAJI wa JKT Tanzania, Charles Ilanfya juzi Jumanne ameanza  mazoezi ya gym tangu alipoumia Agosti 28 timu hiyo ilipocheza dhidi Azam FC katika Uwanja wa Major Generali Isamuhyo. Katika mchezo huo Ilanfya aliangukia goti bila kusukumwa na mtu, kisha likaanza kuvimba na baada ya kwenda hospital aliambiwa anatakiwa kukaa nje msimu mzima. “Goti lilivimba sana…

Read More

Uhamiaji yafafanua nyota Singida BS kupewa uraia Tanzania

Idara ya Uhamiaji imethibitisha kwamba wachezaji watatu wanaocheza Singida Black Stars, Emmanuel Kwame Keyekeh (Ghana), Josephat Arthur Bada (Ivory Coast) na Mohamed Damaro Camara (Guinea) wamepewa uraia wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Uhamiaji ni kwamba Keyekeh, Bada na Camara waliomba na kupewa uraia kwa mujibu wa vifungu vya 9 na…

Read More

Mgunda ataja mambo manne Namungo

KOCHA Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda ametaja mambo yatakayombeba kwenye mechi 14 za duru la pili zilizobaki ili kuihakikishia timu hiyo kucheza Ligi Kuu msimu ujao. Namungo ipo nafasi ya 12 kwenye msimamo baada ya kucheza mechi 16 ikikusanya pointi 17, imeshinda mechi tano, sare mbili na vipigo tisa na kwenye mechi hizo imefunga mabao…

Read More

FEZA Boys yafaulisha wanafunzi wote

SHULE Sekondari Feza Boys imejivunia uwekezaji iliyofanya katika kumuandaa mwanafunzi kuwa bora baada ya kufaulisha wanafunzi wote kwa kupata daraja la kwanza katika mtihani wa Taifa wa kidato cha nne ulifanyika mwaka 2024, huku zaidi ya asilimia 65 wakipata division 1.7. Hayo ameyasema Makamu Mkuu wa Shule ya FEZA Boys, Shabani Mbonde wakati akizungumza na…

Read More

Ajali ya bodaboda yamtibulia Ngalema

BEKI wa Tanzania Prisons, Paul Ngalema amesema sababu ya kutoonekana na timu hiyo tangu asajiliwe msimu huu anauguza majeraha ya ajali ya bodaboda aliyopata Julai mwaka 2024, mkoani kwao Dodoma. Ngalema kabla ya kuripoti kambini (Prisons) katika mizunguko yake alipanda usafiri wa bodaboda, akashangaa ghafla mbele yao kuna  magari mawili, kitendo cha kutaka kujiokoa akuruka…

Read More