
Nchimbi avunja ukimya ishu ya pete
MSHAMBULIAJI wa Mbeya Kwanza, Ditram Nchimbi ameamua kuvunja ukimya juu ya kusakamwa mitandaoni kutokana na video inayomuonyesha akimvisha mwanamke pete ya uchumba, huku akiweka bayana sakata zima la mkewe. Alifafanua ishu ya video aliyekuwa anamvalisha mwanamke pete aliyeonekana kumzidi umri, akisema ni video ya zamani, huku zikiwepo taarifa za chinichini za kumuacha na mkewe, kipindi…