
Wazee Japan walipia Sh400,000 ili wafungwe gerezani, sababu yatajwa
Tokyo. Wakati baadhi ya watu nchini wakiogopa kufungwa gerezani hata kama wametenda makosa, hali ni tofauti nchini Japan ambako wazee wanalazimika kulipia fedha ili wafungwe gerezani. Kwa mujibu wa tovuti ya CNN, nchini Japan wazee wanalazimika kulipia kati ya Yuan 20,000 hadi 30,000 (wastani wa Sh400,000) kila mwezi kwa ajili ya kuishi katika magereza yaliyopo…