Ramovic ampigia hesabu beki wa Kaizer Chiefs

YANGA imeaga michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini chapu kocha wa timu hiyo, Sead Ramovic ameanza msako wa kikosi kipya kwa msimu ujao, akianza kupigia hesabu beki wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ili kuja kutengeneza ukuta wa maana. Kama Yanga itamsajili beki huyo mpya, Sphiwe Given Msimango kinachofanya kazi pale nchini Afrika Kusini,…

Read More

LEO NDIO LEO UEFA CHAMPIONS LEAGUE

LEO ndio leo Uefa Champions League ligi ya mabingwa barani ulaya ambapo mteja wa Meridianbet unaweza kupiga mamilioni kupitia michezo ambayo itachezwa leo kwenye michuano hiyo mikubwa kabisa barani ulaya, Huku mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wakigawa Odds bomba kwa michezo hiyo. Klabu ya PSG leo itashuka dimbani kumenyana na vijana wa Pep Guardiola…

Read More

RIPOTI MAALUMU: Nyuma ya pazia anguko la viwanda Tanga

Kijana Bakari Rajabu (siyo jina halisi), mkazi wa Majengo jijini Tanga, anaishi maisha ya shida. Mahabusu na jela zimekuwa kama nyumbani kwake. Lakini, kwa maneno yake mwenyewe, hakupenda maisha haya. “Nimelazimika kuingia katika uhalifu ili niishi. Ninaishia jela au mahabusu. Lakini watu hawaelewi. Mimi sipendi kuwa hivi,” anasema Hata hivyo, Bakari, ambaye ndoto zake baada…

Read More

UCHAMBUZI WA MALOTO: Kwa heri Chadema ya Mbowe

Mashambulizi ya jicho kwa jicho na kuvuana nguo. Vita ya maneno na mabadilishano ya ahadi kuhusu kesho ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Kilikuwa kipindi pevu cha mnyukano, hatimaye tamati imefikiwa na mwanzo mpya umezaliwa. Tundu Lissu ndiye Mwenyekiti wa Chadema na Freeman Mbowe, anavaa cheo kipya, mwenyekiti mstaafu. Tamthiliya, vioja na ngebe za…

Read More