
Ikanga Speed aomba mechi, aanza kusuka mipango
KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujifua kwa ajili ya kurejea katika mechi za michuano ya ndani ikiwamo Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho baada ya kutolewa Ligi ya Mabingwa Afrika, huku winga mpya wa timu hiyo, Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’ akiomba mechi hizo mapema. Winga huyo aliyetua katika dirisha dogo kutoka AS Vita ya DR…