
Lissu aendelea na Mnyika katibu mkuu, awateua Dk Nshala, Lema kamati kuu
Dar es Salaam. Mwenyekiti mpya wa Chadema, Tundu Lissu, ameanza kusuka safu za uongozi ndani ya chama hicho kwa kupendekeza majina ya Katibu Mkuu na Manaibu Katibu Wakuu wawili, Bara na Zanzibar. Lissu ameunda safu ya viongozi hao wa sekretarieti wakiongozwa na Katibu Mkuu, John Mnyika, anayeendelea kushika wadhifa huo. Akimpendekeza Mnyika mbele ya wajumbe…