
Upelelezi kesi ya wanaodaiwa kuchana noti za Sh4.6 milioni upo hatua za mwisho
Dar es Salaam. Upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili washtakiwa 13, wakiwamo waliokuwa watumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), upo katika hatua za mwisho kukamilika. Kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka matano, likiwamo la kuharibu noti zenye thamani ya Sh4.6 milioni kwa kuzichanachana, hivyo kuisababishia benki hiyo hasara ya Sh4.6 bilioni. Wakili wa Serikali,…