
KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA UENDESHAJI WA KIWANDA CHA KMTCL
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo,akizungumza wakati wa Waziri wa Viwanda na Biashara akiwasilisha Taarifa ya Utendaji wa Kiwanda cha KMTC Manufacturing Limited kilichosajiliwa Kampuni Tanzu ya NDC mwezi Machi, 2023 kilichojulikana kama Kilimanjaro Machine Tools Company (KMTC) ili kufanya kiwanda kujiendesha kibiashara kwa Kamati hiyo katika…