
Adaiwa kuchomwa mshale chanzo mgogoro wa ardhi
Shinyanga. Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia mtu mmoja kati ya wanane wanaodaiwa kumshambulia na kumpiga mshale Mussa Ngasa (40), mkazi wa Kijiji cha Nhobola kilichopo Kata ya Tagala wilayani Kishapu, wakigombea ardhi. Hayo yamesemwa leo Jumatano Januari 22, 2025, na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi, alipozungumza na Mwananchi kuhusiana na tukio…