
Tshabalala, Kapombe wala kiapo Simba
NAHODHA wa Simba, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ amesema kitendo cha kuongoza Kundi A la Kombe la Shirikisho Afrika kwa kufikisha pointi 13, inabaki kuwa mtihani mkubwa kwao ambao wanapaswa kupambana kukabiliana nao hatua zinazofuatia. Simba kwa kumaliza kinara wa kundi hilo, imefuzu robo fainali ikiwa na faida ya kuanzia ugenini hatua inayofuata ambayo Tshabalala anaamini lazima…