
Waziri Ulega Akagua Vivuko Vipya vya Azam Marine, Kuzinduliwa Januari 24, 2025
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekagua vivuko viwili kati ya sita (6) vilivyowasili katika eneo la Magogoni kwa ajili ya kutoa huduma ya usafiri eneo la Kigamboni na Magogoni na kuagiza kukamilisha taratibu zote za uendeshaji wa vivuko kwa mujibu wa sheria na kanuni za uendeshaji vyombo vya majini nchini. Baada ya ukaguzi huo, vivuko…