
SIJAWAHI KUGOMBANA NA MBOWE: LISSU
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)- Bara Tundu Lissu amesema pamoja na kutofautiana na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe kwa misimamo lakini hawajawahi kugombana. Akitoa Salamu zake leo Januari 21, 2025 kabla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa chama hicho, Lissu amesema wanaweza kuwa wametofautiana kimsimamo lakini hawajawahi kugombana. Amesema uamuzi…