
Vijana 1500 Kutoka Vyuoni Wajengewa Uwezo na Brela – Global Publishers
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imeshiriki kwenye Kongamano la kuwajengea uwezo vijana wa vyuo vikuu na katika kwa kutoa elimu kuhusu urasimishaji wa biashara ikiwemo Usajili wa kampuni, Usajili wa majina ya biashara, na Usajili wa alama za biashara na huduma ili kuhakikisha kuwa biashara zao zinafuata matakwa ya kisheria. Akitoa mafunzo…