
Fountain Princess yaongeza saba wapya
FOUNTAIN Gate Princess imeongeza wachezaji saba kutoka mataifa mbalimbali dirisha hili dogo, huku pia ikikamilisha taratibu za vibali kwa nyota wake ambao hapo awali ilishindwa kuwatumia. Akizungumza na Mwanaspoti, Kocha Mkuu wa Fountain Mirambo Camil alisema ripoti yake imefanyiwa kazi ya kuhitaji karibu kila mchezaji kwenye eneo na sasa wako vitani kujiandaa na ligi. Aliongeza…