Kocha Msauzi amvaa Fadlu | Mwanaspoti

SIMBA inarudi uwanjani wikiendi hii ikiwa ugenini ili kutaka kulinda hadhi iliyonayo ikiongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara itakapoikabili Tabora United, lakini kule katika michuano ya kimataifa kuna kocha mmoja Msauzi ameamua kuitumia salamu mapema kabla droo ya hatua ya robo fainali haijafanyika. Simba ni kati ya timu nane zilizopenya robo baada ya kuongoza Kundi…

Read More

Sheria mpya za Israeli zinazopiga marufuku UNRWA tayari zinaanza – maswala ya ulimwengu

Ikiwa itatekelezwa, sheria hizo mbili mpya zilizopitishwa mnamo Oktoba zitakataza wakati huo huo viongozi wa Israeli kuwasiliana na UNRWA na kupiga marufuku shirika hilo kufanya kazi katika Gaza iliyojaa vita na Yerusalemu ya Mashariki na Benki ya Magharibi, kulingana na msemaji wa UNRWA Jonathan Fowler. Kama hivyo, tayari kubadilika ni jukumu la Israeli kama nguvu…

Read More

KUTOKA MJENGONI: Kwani Dk Chaya unataka ardhi au fedha?

Dk Chaya, kwani ulitaka wananchi wako warudishiwe hizo ekari 30, au maana ya swali lako nini hasa? Sema ulisahau kidogo, kwani ungekumbuka kuwa juzi Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson, aliwapeni njia ya jinsi mnavyoweza kuwasaidia wapigakura wenu kuhusu ardhi. Mbunge Dk Pius Chaya alizunguka sana katika swali lake, lakini kumbe alikuwa anajua mahali pa…

Read More

Gamondi aibukia Libya | Mwanaspoti

ALIYEKUWA kocha wa Yanga raia wa Argentina, Miguel Gamondi amekubali kujiunga na timu ya Al Nasr ya Libya baada ya kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi miwili, tangu alipoachana rasmi na kikosi hicho cha Jangwani, Novemba 15, mwaka jana. Taarifa kutoka Libya zinadai kocha huyo aliyeipa Yanga mafanikio zaidi amesaini mkataba wa miezi sita…

Read More

Matano atengeneza mtambo wa mabao Fountain Gate

KOCHA wa Fountain Gate, Mkenya Robert Matano amesema anatengeneza namna ya kuunganisha washambuliaji watatu nyota wa kikosi hicho katika michezo ya mzunguko huu wa pili, unaoanza kesho baada ya kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi. Washambuliaji hao ni kinara wa ufungaji katika timu hiyo, Seleman Mwalimu aliyefunga mabao sita na Edgar William mwenye matano, sambamba…

Read More

Mapya yaibuka Soko la Kariakoo, Samia ang’aka

Dar es Salaam. Wakati Soko la Kimataifa la Kariakoo jijini Dar es Salaam likitarajia kuanza tena kutoa huduma, Rais Samia Suluhu Hassan amesema moto ulioliteketeza, ulikuwa ni kupoteza ushahidi kutokana na ufujaji wa fedha. Mbali na hilo, amebainisha ukwepaji kodi unaofanywa na wafanyabiashara akitolea mfano walichobaini kwenye jengo la ghorofa lililoporomoka Novemba 16, 2024 Kariakoo…

Read More