
MUFTI MKUU TANZANIA KUJA NA ZIARA YA KUIMARISHA UONGOZI MKOA WA DODOMA
Mufti Mkuu Sheikh Abubakar Zubeir amesema Baraza limepanga kufanya ziara rasmi mkoani Dodoma, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kutembelea mikoa yote 26 nchini. Ziara hii inalenga kuimarisha uongozi, kushughulikia changamoto, na kuweka mipango madhubuti kwa maendeleo ya kidini na kijamii. Katika ziara hiyo, viongozi wa Baraza watazunguka kila wilaya kujadili mafanikio na changamoto…