
Bila ya mashabiki, Simba yamzima Mwarabu
SIMBA imetoa darasa tamu kwa watani wao wa jadi, Yanga baada ya jioni ya leo kushinda mabao 2-0 mbele ya CS Constantine ya Algeria, licha ya kucheza bila ya mashabiki kutokana na kutumikia adhabu iliyopewa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Simba ilipata ushindi huo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam ambao…