
Baadhi ya wanachama Dodoma watangaza kumuunga mkono Lissu
Dodoma. Ikiwa imebaki siku moja kuelekea kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambapo pia kutakuwa na uchaguzi mkuu wa kuwapata viongozi wa ngazi za juu wa chama hicho, baadhi ya wanachama mkoani Dodoma wametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu. Wakizungumza na waandishi wa habari leo jumapili Januari 19, 2025 jijini Dodoma wanachama…