
BONANZA LA WAFANYAKAZI TRA NA WAFANYABIASHARA KARIAKOO LAFANA
Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mcha Hassan Mcha, akikabidhi kwa Nahodha wa timu ya Wafanyabiashara Kariakoo, Shafii Salimu, kombe baada ya kuifunga timu ya TRA, katika michuano ya bonanza la Siku ya mlipakodi, viwanja vya Michezo Jakaya Kikwete, Dar es Salaam, jana. Wa tatu kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala,…