
Gadiel arejesha majeshi Singida | Mwanaspoti
BAADA ya kuvunja mkataba na Chippa United ya Afrika Kusini, Mtanzania Gadiel Michael ametimkia Singida Black Stars. Nyota huyo wa zamani wa Simba na Yanga ambaye wakati mwingine amekuwa akitumika kama kiungo Chippa, alijiunga na timu hiyo msimu huu kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea Cape Town Spurs ya nchini humo. Siku chache zilizopita alisitisha…