
Mama Mongella, mumewe watoa siri ndoa yao kudumu kwa miaka 56
Hakuna namna unaweza kutenganisha jina la Getrude Mongella na harakati za kijinsia, kwa sababu yeye ni mmoja wa wanawake waliopigania haki za kijinsia kwa ufanisi mkubwa. Harakati hizi zilipamba moto nchini hasa mwaka 1995, baada ya mama huyu kuteuliwa na Umoja wa Mataifa kuwa Katibu wa Mkutano wa Beijing wa wanawake. Hii ilikuwa ni hatua…