
Yanga yakwama kwenda robo CAFCL
YANGA imeshindwa kukata tiketi ya kucheza robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya pili mfululizo baada ya jioni hii kulazimishwa suluhu na MC Alger ya Algeria kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Timu hiyo inayonolewa na Mjerumani, Saed Ramovic ilihitaji ushindi wa aina yoyote ile ili ifuzu tena robo…