
Mgaya atamani makubwa Coastal | Mwanaspoti
STRAIKA mpya wa Coastal Union, Ally Mgaya amesema anatamani kufanya makubwa akiwa katika kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Juma Mwambusi. Kabla ya kujiunga na Coastal nyota huyo aliichezea Fleetwoods United FC, inayoshiriki Ligi Daraja la Pili UAE. Nyota huyo alimaliza mkataba wa miaka miwili hivi karibuni na kabla ya kucheza Falme za Kiarabu aliwahi kutumikia…