STANBIC BANK TANZANIA YATOA WITO WA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA NISHATI NA USHIRIKIANO WA KIKANDA KATIKA MKUTANO WA EA-ECS 2025

  Stanbic Bank Tanzania inasisitiza dhamira yake ya kuimarisha uwekezaji katika sekta ya nishati na kuwezesha kifedha miundombinu muhimu wakati wa Mkutano wa 5 wa Ushirikiano wa Nishati Afrika Mashariki (EA-ECS) 2025 unaofanyika jijini Arusha. · Mkutano huu ni jukwaa muhimu la kuhamasisha ushirikiano wa kikanda na kuimarisha mifumo ya nishati kwa lengo la kupanua…

Read More

Gumzo Albamu Mpya ya Bruce Melodie – Global Publishers

Last updated Jan 30, 2025 Bruce Melodie STAA wa muziki nchini Rwanda, Bruce Melodie ameachia albamu yake mpya iitwayo ‘Colorful Generation’ ambayo ni moto wa kuotea mbali na kuwa gumzo mitandaoni. Katika albamu hiyo yenye nyimbo 21 kibao cha “Beauty on Fire”, ndicho kinachotamba zaidi ambapo alikitoa awali akiwa anaisafishia njia albamu hiyo. Bruce…

Read More

Magonjwa nyemelezi yanavyowatesa vijana wenye VVU

Dar es Salaam. Wakati dunia ikiadhimisha siku ya magonjwa yasiyopewa kipaumbele leo Januari 30, 2025 nchini Tanzania, hali ya waviu wasiotambua hali zao mpaka kufikia hatua ya kupata magonjwa nyemelezi (Ukimwi) bado ipo huku vijana wakitajwa kuathirika zaidi. Magonjwa nyemelezi yanayosababishwa na virusi vya Ukimwi (VVU) hatua ya juu kitaalamu yakitambulika kama Advanced HIV Diseases…

Read More

Mwanafunzi adaiwa kujinyonga kwa mtandio Simiyu

Simiyu. Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Simiyu iliyopo mjini Bariadi, Latipha Juma (17) amejiua kwa kujinyonga kwa mtandio chumbani kwake, huku sababu za kufanya uamuzi huo zikiwa hazijafahamika. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Januari 30, 2025 kwa waandishi wa habari na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Edith Swebe, tukio hilo…

Read More

Wasira awajibu wanaosema CCM imekaa madarakani muda mrefu

Bunda. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Steven Wasira amesema wale wote wanaosema chama hicho kimekaa muda mrefu madarakani wanapaswa kufahamu kuwa hakikuwa na mkataba wa kumaliza kazi, isipokuwa kuleta maendeleo kwa wananchi. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Bunda leo Jumatano, Januari 30 2025, Wasira amesema chama hicho hakina mpango wa…

Read More

Kocha KenGold freshi, BM3 atuliza mashabiki

PAMOJA na kukubali kiwango cha wachezaji, kocha mkuu wa KenGold, Vladslav Heric amesema kazi iliyobaki ni kuongeza makali eneo la ushambuliaji, huku nyota Benard Morrison ‘BM3’ akituliza upepo. Ken Gold inajiandaa na mzunguko wa pili, ambapo tayari imeshatesti mitambo yake katika michezo miwili ya kirafiki ikiambulia sare ya 1-1 dhidi ya Prisons na Mbeya Combine…

Read More