Misogyny ya Kutojali na Hatari ya Zuckerberg na Musk – Masuala ya Ulimwenguni

Mark Zuckerberg Maoni na Jan Lundius (Stockholm, sweden) Alhamisi, Januari 16, 2025 Inter Press Service STOCKHOLM, Uswidi, Jan 16 (IPS) – Kwa kutarajia kuapishwa kwa Donald Trump eneo lake lililojaa dhahabu la Florida, Mar-a-Lago, ni kitovu cha michezo ya kisiasa, ambapo wafanyabiashara wenye ushawishi mkubwa kama Mark Zuckerberg na Elon Musk wanajiweka katika nafasi nzuri….

Read More

Kelele za rushwa zaibua wadau

Dar es Salaam. Kukithiri kwa vitendo vya rushwa nchini kunatajwa kuwa tatizo mtambuka linalogusa malezi, kukosa hofu ya Mungu, na ukosefu wa masilahi kazini. Hayo yanaelezwa kutokana na video iliyosambaa mitandaoni, ikiwaonyesha askari polisi wawili wa usalama barabarani wakichukua vitu vinavyodaiwa kuwa fedha kutoka kwa madereva na makondakta wa daladala jijini Dar es Salaam. Akizungumza…

Read More

Wanafunzi jamii ya wafugaji wapata misaada ya shule

Arusha. Zaidi ya wanafunzi 150 wa jamii ya wafugaji wa Kimasai waishio Kijiji cha Kimokouwa, wilayani Longido, Mkoa wa Arusha wamepatiwa misaada ya vifaa mbalimbali vya shule. Misaada hiyo imetolewa hivi karibuni na Shirika la ‘Smile Youth and women Support Organisation’ la jijini Arusha, kwa lengo ni kusaidia wanafunzi hao wa shule za msingi na…

Read More

Chadema ni mwendo wa kuvuana nguo

Dar es Salaam.  Ukimwaga mboga, namwaga ugali. Huu msemo unaweza kuutumia kuelezea kile kinachoendelea ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa sasa. Hali hiyo inatokea katika kuelekea uchaguzi mkuu wa chama hicho, utakaofanyika Jumanne ya Januari 21, 2025 kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Joto la uchaguzi huo linapanda kila kukicha na sasa…

Read More

‘Bima ya afya kwa watalii haijaleta athari’

Unguja. Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale, Mudrik Ramadhani Soraga, amesema kuwa kuanzishwa kwa bima maalumu kwa watalii hakujapunguza idadi ya wageni kisiwani Zanzibar, bali kumechangia ongezeko la idadi yao. Soraga alibainisha kuwa tangu bima hiyo ilipoanza kutumika rasmi mnamo Oktoba 1, 2024, kumekuwa na ongezeko la watalii kwa asilimia 17 kila mwezi. Amesema…

Read More

Katika-katika ya umeme sasa pasua kichwa

Dar es Salaam. Wakati Tanzania ikijitosheleza kwa uzalishaji wa umeme, tatizo la kukatika mara kwa mara kwa nishati hiyo,  ni kilio cha baadhi ya wananchi wanaoleleza kutonufaika nao, huku wakipata hasara kutokana na vifaa kuungua. Wananchi wamekuwa wakitoa vilio vyao kupitia makundi sogozi ya WhatsApp na mitandao mingine ya kijamii, ikiwemo ya Shirika la Umeme…

Read More