
WORLD VISION TANZANIA YAGAWA MICHE YA MATUNDA NA MBEGU ZA MBOGAMBOGA KWA SHULE ZA MSINGI SHINYANGA
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro (mwenye tisheti nyekundu kushoto) , maafisa kutoka World Vision Tanzania, maafisa wa kilimo na elimu wa wilaya, pamoja na wataalamu wa kata za Pandagichiza, Iselamagazi na Itwangi wakiwa wameshikilia pakti za mbegu za mbogamboga Na Mwandishi Wetu – Shinyanga Shirika la World Vision Tanzania, kupitia mradi wake…