Kupunguzwa kwa misaada ya Amerika kutaifanya ulimwengu kuwa na afya njema, salama na hauna mafanikio ': Guterres – Maswala ya Ulimwenguni

“Kupunguzwa hizi kunaathiri anuwai ya mipango muhimu,” yeye aliambiwa Waandishi wa habari katika makao makuu ya UN huko New York, wakionyesha usumbufu unaowezekana wa kuokoa kazi za kibinadamu, miradi ya maendeleo, juhudi za kukabiliana na makosa na mipango ya kupambana na biashara ya dawa za kulevya. Alionyesha shukrani ya UN “kwa jukumu linaloongoza” Amerika imecheza…

Read More

Frank Kisamo: A Legacy of Youth Leadership in Food Systems

Frank Kisamo was a dedicated and visionary youth leader committed to transforming food systems in Tanzania. As a GAIN Arusha Food Systems Youth Leader and Regional Coordinator, he provided leadership and guidance to his fellow youth leaders, inspiring many through his passion and commitment. He pioneered the formation of Tanzania Youth Alliance for Food Systems,…

Read More

HUDUMA KWA WATEJA EWURA SASA KIDIJITALI

  Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Dkt James Andilile (katikati) akimjibu mwananchi aliyepiga simu kutaka kufahamu utaratibu wa kuwasilisha malalamiko EWURA. Wengine ni Stephania Bachubire (kushoto) na Aliadina Kaghashe(kulia) ambao ni watoa huduma kwenye kituo cha huduma kwa wateja kilichozinduliwa leo 27 Februari 2025 katika Ofisi za EWURA Makao Makuu, jijini Dodoma. Na.Mwandishi Wetu -Dodoma Kwa…

Read More

Kuongezeka kwa kiwango kikubwa katika kuajiri kikundi cha watoto wenye silaha, anaonya UNICEF – maswala ya ulimwengu

UNICEFMwakilishi wa Haiti, Geetanjali Narayan, aliwaambia waandishi wa habari kwamba mwezi uliopita, vikundi vyenye silaha viliharibu shule 47 katika mji mkuu wa Haiti-au-Prince, na kuongeza katika shule 284 zilizoharibiwa mnamo 2024. “The Mashambulio yasiyokamilika kwa elimu yanaongeza kasiakiacha mamia ya maelfu ya watoto bila mahali pa kujifunza, “alisema. Akiongea huko Geneva, Bi Narayan alielezea ripoti…

Read More

Mufti Zubeir: Mwezi haujaandama, Waislam kuanza kufunga Jumapili

Tanga. Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir ametangaza kutoonekana kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, nchini na nchi jirani hivyo waumini wa dini ya Kiislam wataanza rasmi kufunga Machi 2,2025. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuandama kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhani leo Ijumaa Februari 28,2025 mkoani Tanga, Mufti Zubeir amesema, “kamati ya mwezi imefuatilia maeneo…

Read More

TIC yajitosa kutatua changamoto ya ajira kwa wasomi

Dodoma. Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeanza mkakati wa kujenga utamaduni wa wanafunzi kuwekeza wakiwa vyuoni, lengo likiwa ni kuongeza idadi ya wawekezaji Watanzania na kutatua changamoto ya ajira kwa vijana.  Programu hiyo inakuja wakati kukiwa na vuguvugu la vijana waliohitimu katika vyuo mbalimbali wakiwemo walimu wakipaza sauti zao za kutaka kuajiriwa na Serikali. Kwa…

Read More

Ukuaji wa watoto nchini waiibua serikali

Dodoma. Zaidi ya nusu ya watoto nchini hawako katika ukuaji sahihi unaotakiwa huku ikielezwa kuwa hali hiyo inaweza kuongezeka ikiwa juhudi za makusudi hazitachukuliwa. Takwimu hizo zimetolewa leo Februari 28,2025 jijini Dodoma na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dk Dorothy Gwajima wakati akifungua mafunzo ya waandishi wa habari wanaojisisha na…

Read More