MERIDIANBET IMEKUJA NA OFA YA KIBABE

KAMPUNI ya Meridianbet wamekuja na ofa ya kibabe kwa wateja wao ambao wamejisajili kwenyetovuti yao, Ambapo watapata nafasi ya kujishindia bonasi ya shilingi 10,000 hii ni kwa mara ya kwanza bonasi ya namna hii inawekwa. Meridianbet wamekua wakitoa ofa za kutosha kwa wateja wao ambao ni wapya mara kwa mara, Awamu hii wameamua kuweka kiwango…

Read More

Madiwani Wanging’ombe walia bei ya ushuru wa mazao

Njombe. Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe wamependekeza kupunguzwa kwa bei ya ushuru ya mazao ili kuepusha wimbi  la wafanyabiashara wadanganyifu kufanya utoroshaji wa mazao, jambo linalotajwa kuisababishia hasara kwa halmashauri hiyo. Kauli hiyo wameitoa leo Februari Mosi, 2025 katika baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe robo ya pili…

Read More

Wafanyabiashara Kilombero mfano bora kulipa kodi kwa hiari

Kilombero. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro imesema kuwa hali ya ulipaji kodi katika wilaya hiyo ni mzuri,  kwani wafanyabiashara wanalipa kodi kwa hiari na kwa wakati shuruti. Hayo yamesemwa leo na Meneja wa TRA wilayani humo Wilfred Makamba wakati wa kikao kilichohusisha wafanyabiashara na watendaji wa mamlaka hiyo na kuongeza…

Read More

MSAJILI WA MAHAKAMA AWATAKA WADAU HAKI JINAI KUSHIRIKIANA

Na Oscar Nkembo Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Eva Kiaki Nkya, amezitaka taasisi zilizopo kwenye mnyororo wa haki jinai kuendelea kushirikiana ili kutoa haki kwa wakati kwani miongoni mwa nguzo muhimu za mafanikio ni ushirikiano Nkya ameyasema hayo wakati akifunga maonesho ya wiki ya Sheria kitaifa katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma…

Read More

Hamas yawaachia mateka watatu wa Israel, Wapalestina 183 nao huru

Gaza. Wapiganaji wa kundi la Hamas wamewaachia mateka watatu wa Israel waliokuwa wanawashikilia tangu uvamizi uliofanyika Oktoba 7, 2023. Katika makubaliano kati ya pande hizo, Serikali ya Israel imewaachia wafungwa wa kipalestina 183. Wafungwa hao ni waliokuwa wakitumikia vifungo mbalimbali kwenye magereza ya Israel ikiwemo adhabu ya kifo na kifungo cha maisha jela. Mabadilishano hayo…

Read More

MAWAKALA, VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA HAWARUHUSIWI KUINGILIA MCHAKATO WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA VITUONI

Na Oscar Assenga, Tanga Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Jacobs Mwambegele amesema kwamba mawakala, viongozi wa vyama vya siasa hawaruhusiwi kuingilia mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura vituoni. Mchakato wa zoezi la uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura likitarajiwa kuanza mkoani Tanga February 13 mwaka…

Read More